mkuu ndoa ni safari na ni maamuzi unayotakiwa kuwana uhakika na maamuzi hayo.....mwanamke lake nikuheshimu kupenda ni jukumu la mwanaume... sasa ukiona mwanamke akuheshimu ni mtihani..
mwanamke anatingozwa hata akiwa ni mke wanaume huwa hawaachi muhimu ni mwenzio kuwa na msimamo tu na kutoweka mazingira ya kutongozwa au kukataa pale inapotokea,...
bado anajiona mdogo na ananafasi ya kumingle bado na hiyo inatokana na wanaume kumdanganya watamuoa lakini kiukweli hiyo ni gia tu si kila mwanaume muoaji...
jiamini mkuu