Mwanamke mpumbavu
Umeolewa,una kazi nzuri,mme ni mfanyibiashara,mambo yake yamechanganya,nice house,gari,watoto shule za bei mbaya etc , lakini kila kukicha unahisi ana mahawara.The fact kwamba mmeo ni mhangaikaji kila wakati bize kwenye simu. Mume ana matatizo TRA,anayemsaidia ni mdada,anapigiwa simu wakati mko pamoja sebuleni,anapokea na kuongea na huyo mdada,mke anasikia sauti ya kike kwa mbali,presha inapanda inashuka.Anavizia mzee amekwenda toilet anachukua simu ya mmewe na kuscroll last number received,anai note,anai set simu yake kwenye sms na kumwandika mama wa watu ujumbe huu:
"Nani wewe unampigia simu mume wangu (anamtaja kwa jina),malaya mkubwa wewe,kwanza una ukimwi,mkome mme wangu...etc etc". Upande wa pili mama wa watu anapokea ujumbe huo wakati yeye ndo anahangaika kwa nia njema kumsaidia jamaa mambo yake ya kodi......just imagine,halafu ni mama mtu mzima ana heshima zake.
Yaani....nimechoka kabisa.

we mwache....hanijui.Pole sana Bishanga, insecurity hiyo punguza mazingira ya kutokuaminika! Wote mna role ya kuplay, wanawake tunataka kuwa reassured now n then; hiyo list ya material things lazima iwe complimented na mambo ya intimacy isiyo kuwa shared na third party!
Sina cha kumwambia huyo mwanamke coz hayupo hapa, uliepo ni wewe!
Ulimueleza mkeo hiyo mipango lakini!.
wanawake unawajua unawasikia? umueleze mishemishe zako ili iweje? hujawahi kusikia mke aliyemlipua mmewe polisi jamaa akaishia segerea?
Mkuu Bishanga, kama yamekufika huna budi kuwa siriaz. Inauma sana sometimes.niko siriaz bana.
unatetea ujinga?
Mkuu Bishanga, kama yamekufika huna budi kuwa siriaz. Inauma sana sometimes.