Wanawake njooni hapa !

PESA
PESA YANGU UTAIPATA NIKIWA TAYARI NIMESHAKUPIGA MIMBA
 
Uzi unahusu wanawake nyie dume mmefata nini huku[emoji85]
 
Uliposema wanaume ina maana ni wote na hata wanaokuhusu,Kaka zako mume wako wajomba na wengineo kwa hiyo ujue kama hao ndo umewafedhehesha,next time fikiria kabla ya kupost upuuzi kama huu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Uzi unahusu wanawake nyie dume mmefata nini huku[emoji85]
Sisi pia ni Wana JF,so tuna uhuru wa kusoma chochote,kuweni na heshima kwa wanaume,nyinyi ndo mwajiona wote ni wasafi???[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji57] [emoji57]
 
Sisi pia ni Wana JF,so tuna uhuru wa kusoma chochote,kuweni na heshima kwa wanaume,nyinyi ndo mwajiona wote ni wasafi???[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji57] [emoji57]
Mnatafuta kutubaka sasa nyie...

Msije bana. Mada haiwahusuuuu[emoji85]
 
Haaaaa kumbe mnaogopa kubakwa,Bac mwambie huyo aliepost atutake radhi[emoji57] [emoji57] [emoji57]hatupendagi ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…