Wanawake njooni hapa !

Hivi hawa wanaume wachafu hivyo mnakutana nao wapi hadi ukubali kumdate!!!!
 
Hiyo juice ya Muwa ndio mtaji wenu??
 
searching...............................................
 
Ingawa hii thread ni special kwa ajili ya wanawake, mi nilikuwa napita tu lakini nimeona ngoja niweke kidogo, tabia ya usafi ni ya mtu mwenyewe, sasa wewe unawambia wanawake wakati ninyi wenyewe huwa hamjitambui, utakuta mwanamke anaamka asubuhi lahaula, na isitoshe kaolewa na alilala na mumewe, hajaswaki wa kuoga kwanza ni kwenda mabarazani kuongea umbea. Sasa kama wanawake mpo hivyo, utasubiri akufanyie hayo yote wanawake wenyewe hamjitambui. Kuosha kwenyewe papuchi baada ya kuduu ni shida mpaka akumbushwe na mumeo kuosha papuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…