Wanawake njooni hapa !

Kuna wanaume ukikaa nao ni wasafi mpaka wewe mdada unaona aibu! Ila mi mwanaume akiwa msafi sana ananitisha... Nahisi kama akina kaoge!!
 
Hapo kwa soks mhhh unawezaje kurudia soks mara mbili
 
Mtoa mada wewe ni mwanamke wa ajabu why kumuanika mumeo hadharani? Mwanamke mpumbavu ...........jaza mwenyewe
 
Kwakweli mie aya ya mwisho ndio inanihusu, hayo mengine i aint his moma, atafanya mwenyewe.
 
Akifikia level ya mume atafanyiwa hayo, ya nini kuchakazana na hata posa hakuna.
 


 
Wanaume wa mikoani au wa Dar? Nauliza tu.
 

HUO UPUUZI WA KIPENGELE CHA MWISHO HUO WA KUOMBANA HELA OVYOOVYO UONDOE KABISA HUO!

HUKO NI KUTAFUTA BIFU LA WAZI KWA BEI NAFUU!
 
Hivi bado kuna wanaume wachafu dizain hiyo mpaka wasimamiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…