Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,248
wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.
you talk! A REAL MAN * A REAL WOMAN are few||wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.
wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.
Habari waungwana
Kwa sensa/tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwa msisitizo zaidi inasemekana kwamba "hata kama wanaume wote kila mmoja akaamua kuoa wanawake wawili bado kuna wanawake watakosa wanaume(partner)".Lakini cha kushangaza sasa,huku mtaani tunakoishi hakuna mwanamke hasiyekuwa na mwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya mmoja.Wataalam ya hesabu za uwiaona naomba mniongezee maarifa,je inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner) hadi kulazimika kwenda kununua papuchi?.
Kweli hapo panahitaji majibuje inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner)
uuuuuupsi elewa sigle people wapo....
wenye wanaume zaid ya tano wapo....
wenye wanawake zaid ya saba wapo....
wanaonunua papuchi while wameoa wapo.....
wanaotafuta wanaume na hawapati wapo......
wanaopigwa vibuti men kila uchwao wapo....
uwiano....uwiano...uwiano....utapata jibu kweli?????
amin wanawake ni weng zaid ya wanaume yatosha
Habari waungwana
Kwa sensa/tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwa msisitizo zaidi inasemekana kwamba "hata kama wanaume wote kila mmoja akaamua kuoa wanawake wawili bado kuna wanawake watakosa wanaume(partner)".Lakini cha kushangaza sasa,huku mtaani tunakoishi hakuna mwanamke hasiyekuwa na mwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya mmoja.Wataalam ya hesabu za uwiaona naomba mniongezee maarifa,je inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner) hadi kulazimika kwenda kununua papuchi?.
wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.
uuuuuupsi elewa sigle people wapo....
wenye wanaume zaid ya tano wapo....
wenye wanawake zaid ya saba wapo....
wanaonunua papuchi while wameoa wapo.....
wanaotafuta wanaume na hawapati wapo......
wanaopigwa vibuti men kila uchwao wapo....
uwiano....uwiano...uwiano....utapata jibu kweli?????
amin wanawake ni weng zaid ya wanaume yatosha
Kama ni paper umefaulu, imenikumbusha historia ya form two (SCRAMBLE FOR AFRICA) kwa case hii itakuwa ni SCRAMBLE FOR WOMEN hivyo mwenye nguvu ndio mshindi pia ikumbukwe kwamba kila anaetokewa na mwanaume lazima atasema ana mtu ili ku-avoid kusumbuliwa hivyo kama una moyo mdogo utakuwa unajiona una mkosi kwa kukosa demu huku kila demu ana mtu. Jamaa akomae tu kwani kuambiwa ana mtu sio justification kwamba kila mwanamke ana mwanamume wakati mwingine amekuona hueleweki hivyo anakufumbadats a simple math, wanavosema wanawake ni weng huwa wanajumuisha wanawake wote kwa ujumla watoto, vijana na wazee, so inawezekana idadi kubwa ya wanawake ni watoto na wazee ndo inafanya waonekane wengi ila vijana wanawake ni wachache na kumbuka vijana wanawake wanasakwa na vijana wanaume na wanaume wazee hivyo automatically kwenye mahitaji ya kimapenz wanawake ni wachache kuliko wanaume
mkuu!!! unazungumzia wanawake ua wanaofanana na wanawake siku hz hakuna wa kwako peke yako hata daladala linapakia na kushusha ndivyo tulivyo DIGITAL!!! :typing: