Wanawake na tamaa zao

Kuolewa na mtu asienakitu kabisa ni kucheza kamari, biashara kichaa hiyo....
Nyie tafuteni
 
Ila tabia ya mwanaume asiye na kitu kabisa tabia yake haijulikani. Ila kama wewe ni bingwa wa kubet, kucheza biko, 3 mzuka olewa tu lolote laweza tokea
 
Safi sana nazani wamekusikia
 
Huu ndio ukwel japo huwa mchungu kwao lakn wakiwa over30 ndo huanza kushtuka na akili kuwaijia.
 
Somo zuri lakini wanawake Gold digger hawawezi kukuelewa coz biashara yao ni kuuza miili yao,wengi utawajua tu kwa comment zao za kupenda pesa kuliko utu,yani mimi nikigundua mwanamke amenipendea pesa zangu nitamfuna tu kwa mda nakumpiga chini Ndoa kwangu Asahau!
 
Walivyo mabwege watatoa sana mapovu wakati we umewapa ushauri mzuri. Lakini kwa vile wenyewe ni mabwege na wana tamaa wacha tuendelele kuwatumia sie wenye ndoa zetu na ambao hatuna future nao
 
Wewe Mwanamke Hongera kwakulijua hhilo na Mungu akupe Wame wengi watakao kuoa.
 
Jiwe gizani. Ukikutana na povu LA omo ujue ndo limewapta hilo jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…