Wanawake na harufu mbaya ukeni

Daaaaa Hii kweli nayo inachangia
 
Kuna mmoja hapa ofisi inanukia kama lile chupa likiloisha maziwa mtindi alafu likakaa siku 4 bila kufunuliwa siku ukilifunua ile harufu inayotoka ndo inanukia hivyo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
K gani isiyonukia? K kunukia ni sunna. Lazima kaharufu kwa mbaaaali. Nyie mnaozama kazi kwenu.
 
Wengine wanatoa mimba mabaki ya uchafu yanabaki kwenye shingo na tumbo la uzazi yanaoza!

Harufu yake ni kama mzoga wa paka!

Umalaya unawaponza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…