Wanawake na harufu mbaya ukeni

Toromeeeeeee

Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutoka harufu mbaya ukeni kubwa ikiwa ni fangus ambayo hutokana na kutofanyia usafi vizuri uke pamoja na kubadilisha sana wanaume ambao huwezi kuhamisha bakteria hao wa fungus toka mwanamke mmoja hata mwingine

Wengine fungukeni visababishi vya harufu mbaya ya kasho pamoja na ukeni
 
1.Uchafu. kama huku (........) wanawake wengi ni wachafu, kuoga ni kwa nadra wanasingizia baridi. wanavaa nguo nyingi, kuipata papuchi umefanya nguvu ya ziada.

2.Magonjwa ya zinaa. Haina haja ya maelezo mengi, ukiwa na magonjwa ya zinaa lazima kuwe na hali isiyokuwa ya kawaida.

3.Umalaya. kuchanganya shahawa za wanaume tofauti, zinareact, patatoa uvundo tu.

4.viungo vya kuboresha, mara kuwekea ndimu sijui magadi, kupaka asali kumbe ndio unaharibu kabisa
[emoji2] [emoji2]
 
Jaman ndo tunaambiwa uchi unajisafisha wenyewe na rungu pia linasaidia kusafisha[emoji38]
 
Kuu sio kila mtu anapenda maji kuogaoga na wengine kujisafisha hawajui ni kuelekezana tu

Wengi hajisafishii kila wapopata haja ndogo
 
Mkuu, wengine hizo ndio tunazizamia kwenye chumvi... Yaani namaanisha hizo ndio zinafaa kwa kudeki...teh[emoji28]
 
Kuna mmoja hapa ofisi inanukia kama lile chupa likiloisha maziwa mtindi alafu likakaa siku 4 bila kufunuliwa siku ukilifunua ile harufu inayotoka ndo inanukia hivyo
 
Mkuu, wengine hizo ndio tunazizamia kwenye chumvi... Yaani namaanisha hizo ndio zinafaa kwa kudeki...teh[emoji28]
Nakuona mh mjumbe umekuwa Injinia wa sakafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa tu uwe makini Jafo atakapokuja kukuhoji
 
Kuna mmoja hapa ofisi inanukia kama lile chupa likiloisha maziwa mtindi alafu likakaa siku 4 bila kufunuliwa siku ukilifunua ile harufu inayotoka ndo inanukia hivyo
Kweli penye miti hakunaga wajenzi,
Ebu naomba namba zake mkuu....
 
Nakuona mh mjumbe umekuwa Injinia wa sakafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa tu uwe makini Jafo atakapokuja kukuhoji
Mh mjumbe, naona hawaelewi matumizi kwenye mambo ya msingi....teh[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…