Wanawake mnazingua hamueleweki,

namchukia mtu anayemtamka au kumhusisha mama wa mtu bila sababu...plz acheni kutukana wazazi ukizoea kutukana wazaz wa wenzako ipo siku utamtukana wako...i hate this habit.
kumuelwesha mpumbavu ni kazi sana ndio maan nimeamu nimpuuzie tu
 
Hapa huwa nakaaa kimya kabisa aiseeeeeee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Dah nimesoma huko juu eti unamweka anakuwa Backup Woman wakati umezinguana na girlfriend wako.....Aiseeee wanawake TUNALO.
 
Dah,kitu kimefika hadi kiwanja afu unaanza kutongoza tena,kweli na wewe hueleweki,..yaani hapo ni mwendo wa twende tukaongelee kwa huku ndani hapa nje watu wanatuchora,akikubali tu amekwisha,
 
Kama wewe unaeleweka iweje uhangaike na huyo mdada wakati ushasema una GF wako? Na GF wako akigundua una mwanamke unaye mmndea huoni kuwa atatuanzishia uzi mpya wenye kichwa cha habari WANAUME MNAZINGUA HAMUELEWEKI

hahahahaha
 

umenena vema mwenye maskio na askie
 
Hoyaaaaaaaa naona UMESTAAFU KIUTENDAJI ILA UMEKUWA LECTURER katika kuwabrush hawa madogo??? Vibaya hivo, watamla hadi dada yako!! Wakila hawambakishii baba hawa!

Dada yangu hawamuwezi hawa, yaani kama goli la wazi anakosa atafunga la faulo,,, dada zangu wenyewe downtown na nimeshaozesha mmoja na nategemea kuozesha mwingine soon na hao waoaji wamejipanga hasa maana mdada wa mjini hadi umuingize geto lazima uwe umekamilika vigezo vyote ambayo madogo hawana hawa...
 
ooops this is too hash lets not include our poor mothers who are not in jf
 
Uaminifu ni muhimu sana kwani wakati mwingine unakuta GF wako kamtuma rafiki yake akupime msimamo wako na imani yako kama wewe ni easy go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…