Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
.Basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"
Jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,
Tatizo ulipanga kiwanja na akajaa na bado ukaanza kumtongoza, hapo ulirud nyuma bwa mdogo, ulitakiwa uunganishe matukio yaan kwa vitendo tu kama masikhara na uhakika angezega zuga but mwisho wa siku angekupa positive response mtu mzima ungekula mzigo bila zengwe na kumfanya back up demu wako akizingua
Kama wewe unaeleweka iweje uhangaike na huyo mdada wakati ushasema una GF wako? Na GF wako akigundua una mwanamke unaye mmndea huoni kuwa atatuanzishia uzi mpya wenye kichwa cha habari WANAUME MNAZINGUA HAMUELEWEKIKuna binti m1 alianza kuwa rafiki yangu 2 wa kawaida cz alikuwa anamjua gf wangu nikaona nothng cras can hapen amont us so nikamfanya rafiki yangu wa kawaida 2,bt nikawa cmwelewi elewi kwa spid aliyokuwa anakuja nayo,mara aniite dia,mara darling hney na kila alichokuwa anafanya alikuwa ananiambia ucku .halal mpk anipigie cmu 2ongee atleast lisaa limoja na nusu najua kwa mwanamke kumuita mwanaume dia ni ki2 cha kawaida bt we were close enough kuliko hata lovers
Basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"
Jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,
wanawake hatueleweki???? Mama yako je anaeleweka?
.
Huu ni upoyoyo.Si kila aliyechumbani yupo kitandani.Don't Be stupid, Never ever Generalise Issue/Matters.
Si kila aliyekitandani amelala.
Si kila aliyesimama/kukaa na mwanamke na mpenzi wake.
Si kila Mwarabu ni Muislamu.
Si kila Mzungu ni Mkristo.
Si kila Mhaya ni malaya.
Utaumbuka.
Toka katika usingizi mzito uliolala, nawe utaiona njia.
Njia ipo miguuni Pako Mwenyewe.
Bazazi Nimesema!
christine ibrahim! Mimi sio bazazi; ni Bazazi!Ha ha ha,bazazi!
so bad ummecomment hivyo!!!! bcz ur nt a man ndio maana ni ngumu kwako kuelewawazinifu bwana hawaishiwi vihoja