Ofisini kwetu kuna kajamaa kafupi kana majungu kisenge yaaniMkuu wapo sahihi sa mwanaume unakuaje mfupi?
Oya watu wafupi jau Yan wanaona kila kitu wanaonewaOfisini kwetu kuna kajamaa kafupi kana majungu kisenge yaani
Na asilimia kubwa ni wambea balaa😅Oya watu wafupi jau Yan wanaona kila kitu wanaonewa
Wanakataliwa Sana na madem mbwa wale ndo Mana wanakua na visiran na umbeaNa asilimia kubwa ni wambea balaa😅
😅😅😅Wanakataliwa Sana na madem mbwa wale ndo Mana wanakua na visiran na umbea
Hahaha hapa nawaza baad ya weus mtakuja kwa ao wafup?He he he he heeeeeee
Hahahaha sa kaka ndo wawaseme et wakimeza mate mikojo inawabana hapo hapo sbb distance toka kwny koo na kibofu ipo karibuMkuu wapo sahihi sa mwanaume unakuaje mfupi?
Nadhan itakuja zamu ya wanaume wafupi wenye vitambi he he he heeeHahaha hapa nawaza baad ya weus mtakuja kwa ao wafup?
Tuheshimiane boss wang[emoji41]Mkuu wapo sahihi sa mwanaume unakuaje mfupi?
Hahahaha mkuu amewagusa tabaka tawalaTuheshimiane boss wang[emoji41]
Tafuta hela tu.Fullstop.Walianza na wazee "sugar dadies", wakatuon vijan wote kwa kpnd kile hatun maana huku wakiwasifia kua wanajua kuhudumia na wanajali af sio pasua kichwa km hawa wa maji ya moto. Wakaanz kubadilika et wazee wa nin kwnz watakuj kutufia kitandan, mara ujana wao watumie huko kwngn uzeen ndo wamalize kwetu.
Wakaja kwa vijan weupe, wakaanz kuwasifia ni ma handsme,wanaswag huk wakitusem couples ambzo tupo weus wote kua tnataka kugundua uchawi. Pia wakatusema wanaume weuc 2tafte hela pengne uu weuc n kutu. Baad ya mda wakaanz wanaume weupe n malaya pia weng hawaogi.
Wakaamia kwa wenye ndev nyng na saut nzto kua wapo romantic, wanaweza sana mchezo hku tusio na ndev tkiambw tpo kama zuchu.Badae wakasema hatuwatak weng n wachaf na saut zao kama chura huku wakisema kama una ndev af hun hela tofaut yak na mbuz n mavi tu.
Sasa wapo kwa weuc af waref et wapo so hot na wanajali sana huku wakiwasema watu wafupi kua hakuna binadam mwny afy njema na akil timamu mwenye fut 2,3,au 4 pia et wakimeza mate mikojo inawabn hapo hapo.