Wanawake mnaboa!

Jina lako limenifanya nimkumbuke Aunt mayunga wa pale nyuma ya Nyanza primary (mwanza).
Atakua ni aunt babu sahivi
 
Jama aunt ni Dada vipi TENA ila ustarabu kwa sisi watu wa tanga tuliofundishwa tukikutana na tatizo hilo naongea nae nijue tatizo NA Mnunulia sabuni dawa na mafuta sio kutangaza
 
ndo tumeosha tumefikia hapo, kwanini usimsaidie kuiosha vile unavyotaka wewe maana hiyo kitu utamu wake ni harufu utaacha wangapi โ€˜auntโ€™?
 
Hao watu wanakuwa na makucha marefu hawez kuingiza vidole kule kwenye ile kitu kujisafisha kwa hyo uchafu unasababisha harufu na waona hayo makucha ndo urembo hawajui urembo ni pamoja na usafi na mwanamke lazima uwe msafi sana ndo unakuwa mwanamke unless otherwise wewe ni mbuzi kama mbuzi wengine
 
Hela ya matumizi please uwe unatanguliza! Sio kufungua bomba kila saa kuongeza bili ya maji wakati mlaji ni free p
 
08/01/2018 ipo karibuu tutapumzika humu na mada za kitoto
 
NAOMBA UWE DEMU WANGU PLZZZ UNA AKILI SANA...........................
 
Uyu mtoa mada huyuuuu kwanini asimsaidie uyo mtoto Wa watu kama kweli alikua ananuka mpaka kuja kumwaga uku wanaume wengine bwanaa
Wanatabia za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ