Wanawake mnapuyanga sana siku ya harusi, sijui usoni mnapakaga manini mnaonekana hovyo hovyo km mmepakwa chokaa, sijui mnapakaga rangi za nyumba hata hamueleweki. bibi harusi kasura kanakuwa kama kinyani sababu ya mirangi mnayorundika usoni. jirekebisheni bhana!! afu hata mavazi yenu sujui wenyewe ndo mnaita mashela hampendezagi,sijui nani anawavisha,usoni mmerundika marangi, aaaarrrggh gauni nalo marangi hayaeleweki, namna gani pale mpuyango!!
ona wezenu hapa chini wapo simpo lakini wamependeza, hawajapaka marangirangi usoni,gauni rangi inaeleweka, au ndo tuamini kale kamsemo kenu "na uzuri unachangia"
Haahaha Sauda mwilima huwa ananiacha hoi haaaha make up artist wake huwa n majanga,mavazi yake huww kichekesho hahahahah halafu sijui huwa haaambiwi na marafik zake.ona hapo hahahaaha
mmmmh mm napenda urembo ila sio hizo rangi, kwanza napenda kukisiii sana sasa nawaza mtu ataeeza kukisi na mirangi hiyo? mtu ksma mzuri ɓasi ni mzuri tu. tubadilikee.