Mkuu VIP mlifanikiwa kuweka mambo yenu sawaNafahamu hilo,
Ila huyu naweza sema ni mkorofi, maana anaeeza kutafuta sababu yoyote ile ili kunikwaza tu
Pia anajaribu kunitawala yaani anataka mimi niwe chini yake ( naweza kusema anataka mimi niwe mwanamke na yeye awe mwanaume )
Mfano hii leo na mvua hii inayonyesha imetokea dharula anataka mi nikamchukulie kitu sokoni ( katoka kujifungua ) mi nikamwambia na mvua siwezi kutoka kwa nini asingenunua au asingeniagiza tangu jana nirudi nacho mpaka aniagize leo asubuhi muda anaotaka kutumia?
Akajifanya kukasirika kufika saa 17:23 mvua ikapoa nikataka kwenda kumchukulia anadai basi kaghairi, kufika saa 20:00 anamwambia mzee kuna kitu anahitaji mimi nikamnunulie, mzee kuja kuniambia mimi nikapiga kimya
HUYU ANATABIA NYINGINE AMBAYO HII NDO ITAKUWA SABABU KUU YA KUMTALIKI
NI KWAMBA ANAWEZA KUNIKOROFISHA MAKUSUDI MWISHO WA SIKU MIMI NDO NAONEKANA MBAYA MAANA HUWA ANATABIA YA KUWAAMBIA NDUGU ZAKE NA HUYU RAFIKI YAKE AMBAYE NI MKE WA MPANGAJI MWENZANGU NA MAMA MWENYE NYUMBA
NA WAO BILA KUCHUKUA MAELEZO YA PANDE ZOTE MBILI WAISHIA KUNIONA MIMI MBAYA
Wacha niishie hapa maana mambo yapo mengi sana na hapa nilipo tayari nimeshaita wanafamilia kwa ajili ya kikao kesho naamini kesho ndo nitatoa maamuzi rasmi maana huyu mtoto wa pili hataki mimi nitoe jina anataka ampe yeye jina la mama yake wakati mtoto wa kwanza aliniambia nisitoe jina la kulithi kutoka kwa babu wala bibi ila yeye anataka kumpa
Kupika chakula kagoma badala yake kaenda kununua chips kala na mtoto mi kula kwa mama ntilie
Hayo yote niliyosema yametokea leo bado sijasema ya siku za nyuma yaliyopelekea niwe nampiga makofi
Nasubiri amalize arobaini mimrudishe kwao maana kikao cha kesho wanafamilia nitawajulisha hili tu basi
AISEEE...! NAONA BASI INATOSHA NDOA IMEKUWA NDOANA
snowhite ...kwanza nafurahi kukuona ona jukwaani siku hizi!😊haya mambo bana!
Yani mwanzo mnaamini hayawaathiri, kumbe yanawatafuna ile mbaya!
Mpk kufika baadae mmeshalika ile mbaya!
Mnafikia uamuzi mliotakiwa kufikia siku nyingiiiii!#
Af unajiona ulichelewa mara ghafla unajiona uliwahi.
Mradi tafarani!
Ila uliandika kitu kizuri!
Shida ni kuwa pengine ulikuta hiyo situation ni second phase/or 3rd.
Yani uliikutia katikati, ilishaanzaga na tukio au matukioooooo, mpka ikafika ukaikuta hapo!
Kubwa nililojifunza mpk umri huu.
Mahusiano /Ndoa inataka both efforts, yani mutual kabisa kabisa. Hata aliyekosewa naye a give in kwenye kujaribu kutoa fursa ya kuombwa msamaha!
na aliyekosea pia!
Ila iwapo WOTE , hakuna anayesumbuka kusogeza hatua kutoka kwenye pole aliyosimama!
Ah TEMEKE hii hapa!
Na wale wasivyotaka kesi za mauaji ziongezeke,ah wanawapa tu gamba lenu kirahisiiii!
Unique Flower kuna namna hawa wakaka na wababa wamekuvuruga mpaka ni kama unatamani wakufe wote, but they are not all bad.Ipo siku utajuta kuwa mwema kwa hawa mambwa
Nimekuja kupasha maarifa kidogo.snowhite ...kwanza nafurahi kukuona ona jukwaani siku hizi!😊
Nakubaliana na wewe! 💯
Alafu kuna muda hata wakoseaji huwa wanafanya mambo yanakua so much worse. Unakuta mtu kakosea jambo ila adhabu anayopewa inazidi kosa kwa mara nyingi sana. Hamna chakukutana katikati, hamna chakusikilazana wala kuelewana...ni mwendo wa Ulinikosea, so you deserve whatever crap I throw at you tu mpaka mkoseaji nae anageuka mkosewaji.
I've been there...🥴
Na sikuona how unfair I was being to him mpaka nilivyojiweka kwenye nafasi yake.🙈
Wanaume bongo hawakuelewi hata uweje muelewa wao ni wapuuzi tu kwa sasa wanaume kwangu sio kipaumbele
Ila asiwe mtanzania hell no i'm fed up with this tz menUnique Flower kuna namna hawa wakaka na wababa wamekuvuruga mpaka ni kama unatamani wakufe wote, but they are not all bad.
Nikutafutie mmoja ambae hatokuchosha??🙂
Unauliza jibu jamani nyie watz mmenifanya nimepauka
Unauliza jibu jamani nyie watz mmenifanya nimepauka
Acha tu saivi namuhitaji Mungu sana sanaAaaah kumbe ni baadhi ya watoto wa wajukuu na vitukuu vya nyerere[emoji16]. But ukiangalia kwa umakini ni wewe uliyesema YES kwa hao waliofanya upauke[emoji16]
Ni uzee tu unanirudisha nyuma raraa reree 😁😁Dr Lizzy kumbe unajua kushuka aya namna hii 👏😄
Wapi wewe mtoto mbichi kabisa 😊Ni uzee tu unanirudisha nyuma raraa reree 😁😁
Acha tu saivi namuhitaji Mungu sana sana
Labda awe mzungu au mwarabu au mtu mwingine mf. MchinaAnd kupendwa upya
Labda awe mzungu au mwarabu au mtu mwingine mf. Mchina
Sina mistake wanayo mistakesHaihitaj hata awe wa hvyo, but sasa hv angalia was tofauti na ujifunze kupitia mistakes umefanya
Labda awe mzungu au mwarabu au mtu mwingine mf. Mchina
Sina mistake wanayo mistakes