Hahaaa duuu. Ila kuna siku nilienda saloon mapemaa kusuka so yule msusi ilibidi nimkurupue kwake nadhani hakuoga aiseee ule unuko itakua labda ndo hizo shahawa maana uchi zetu huwa hazina harufu mbaya vile hata kama hatujaogaπ±
Tuendelee kulumbana wenyewe tusihusishe watu wasio husika (wazazi) haipendezi tusiwe na jazba tutumie maneno yanayo burudisha yasiyo na kadhia kwa yeyote siku nyingine lakini
Hili suala lipo kama hujakutana nalo shukuru na istokee mwenye tatizo hilo akaongeza unyunyu ndio hafai kabisa
Isipokuwa linatibika kilahisi mno ndani ya masaa 6 anakuwa mwingine kabisa