Wanawake ni nani aliyewadanganya kuwa mbinu ya kumpata mwanaume akuoe ni kumtegea mimba!!?
Nani aliwaambia wanaume wanataka ndoa? tena za kuparamia bila mpangilio?
tena mbaya zaidi kutaka kuwashirikisha hadi ndg kumtambulisha mwanaume bila mpango!yaani nyiee!!
Nani amewaambia kumtambulisha mwanaume kwa shost zako ndio mwanzo wa ndoa???!au kujuana na Mama mkwe?mtaachwa nyie
Nani aliwaambia kumsumbua mwanaume kwa text na calls zisizo na mpangilio ndio tayari umempata mume?au kuweka picha yake dp na status!?
Na yapo mengi,kama una tabia hizo ziache mara moja..la sivyo baadhi yenu mtazeekea kwa wazazi/ndugu zenu.
Nalala.
Sent using
Jamii Forums mobile app