Kumpata mke humu mi huwa naona kama ni bahati nasibu tu...mizaha mingi,wanaume wanajifanya wanawake and vice-versa n.k...ukute dume hilo mdau
this is the REAL MMU...WHERE MEN ARE WOMEN,WOMEN ARE MEN AND CHILDREN ARE ADULTS...
Mkuu kwa jinsi ninavyoifahamu JF lazima utakuwa umechezewa mchezo wa KARATA TATU...........
Hawezi kulamba dume...katika mchezo ule kwa kuwa hata dume lenyewe halipo...........Siajabu kalamba dume