Wanawake jitambueni

Ni hawa wanaojadili wanawake kila kukicha. .BADALA YA KUTAFUTA MBINU MAKINI YA KUTAFUTA PESA NA MAENDELEO. ..chaaa! These people are not watsoro pfo! Leka ngiende ambia wo mangi wo koru mbe Kanyi!
mmmmhhh!!kichina!!
 
Wiki mbili kichwa hakioshwi ndo usafi huo?
 
Wewe nawe unamsahau sana mkeo! Kama unajua anapenda hayo mambo kwanini usiambatane nae anapoenda kununua hizo lotion!
Kuna mkaka jamani mpaka nikampenda! Kila baada ya wiki mbili anampeleka mkewe saluni kusuka tena anamchagulia na mtindo! Saluni zote kule wanamfahamu! Wanaogopa ata kumvurundwa nywele huyo mdada kwasababu timbwili lake huyo mwanaume hamna anaeliweza!
Wanaume wengine muige ivyo basi!!!
 
usafi kichwani anahela ya kumpa abadili styl kila baada ya wiki 2? wao wana lalama haohao wabahiri.
 
ahaha tunataka tuwe km beyonce lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…