sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Ukisuka rasta zikae muda gani, na je zioshwe?Mmmh jaman, Ata biblia imesema wanawake wajirembe, sasa cjui ww wa kijiji gan, tatizo LA mkewe c msafi usuke rasta had zinuke ni kukaa nazo Zaid ya mwez chakufanya ww nikumshaur awe msafi bada ya wik mbili au Tatu afumue nywele azisuke, au azioshe hizo nywele zikiwa zimesukwa na zikauke, vipodoz muhimu ila apake ambavyo haviaribu ngoz yake na kumbadilisha muonekano wake, kua na kucha ndefu Sawa ila kwa mwanamke kucha ndefu ni uchafu ila kucha ndefu zasaidia katika kupetpet, mwanaume nenda na wakat, watakutunzia wenzako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hizi mambo za saloon kujipodoa ni upungufu wa kisaikolojia, yaani mnajiona mkijiremba kiasili hampendezi, kwa hiyo hamjiamini kama ni wazuri mnatakiwa "kujiremba" siyo "kujipodoa"rasta mwezi ? ina maana hela ya saluni hutoi .wewe mume mbaya sana wewe
Mwanamke ni kiumbe kitamu sana kwa mwanaume yeyote. Ila kuna baadhi ya vijimambo vyenu vinapunguza credit kwenu.
Nilipomuoa mke wangu alikuwa pure natural, lakini kutokana na ushoga na wanawake wenzake akaanza mara kutumia mkorogo ili "apendeze" nikamkataza akaacha.
Kukaa kidogo kaanza kununua rasta na kuzisuka akawa haoshi kichwa mara kwa mara, ukimkisi kichwani au kumkumbatia unasikia harufu za ajabu, nikamkaripia sipendi. Mara kanyoa nyusi original kapaka mikaa " Wanja"
Mara kapaka rangi kucha, anakuwa kama jini na kuacha uchafu
Yaani sasa ivi akirudia kufanya ujinga huo wa kuweka vitu bandia kichwani namgeuzia upande wa pili au namwacha peke yake kitandani.
Aliwaambia nani mnaoendeza kwa vitu hivyo. Ukitaka kura romance domo limepakwa sijui lipsi sijue shade yaani unanyonya chemical.
Mwanamke kuwa msafi paka mafuta yako mazuri utapendeza tu sio vitu vya ajabu.

yani hawa viumbe niwaajabu sanaMwanamke ni kiumbe kitamu sana kwa mwanaume yeyote. Ila kuna baadhi ya vijimambo vyenu vinapunguza credit kwenu.

SEMA UKWELI HUNA PESA! PERIOD!Mwanamke ni kiumbe kitamu sana kwa mwanaume yeyote. Ila kuna baadhi ya vijimambo vyenu vinapunguza credit kwenu.
Nilipomuoa mke wangu alikuwa pure natural, lakini kutokana na ushoga na wanawake wenzake akaanza mara kutumia mkorogo ili "apendeze" nikamkataza akaacha.
Kukaa kidogo kaanza kununua rasta na kuzisuka akawa haoshi kichwa mara kwa mara, ukimkisi kichwani au kumkumbatia unasikia harufu za ajabu, nikamkaripia sipendi. Mara kanyoa nyusi original kapaka mikaa " Wanja"
Mara kapaka rangi kucha, anakuwa kama jini na kuacha uchafu
Yaani sasa ivi akirudia kufanya ujinga huo wa kuweka vitu bandia kichwani namgeuzia upande wa pili au namwacha peke yake kitandani.
Aliwaambia nani mnaoendeza kwa vitu hivyo. Ukitaka kura romance domo limepakwa sijui lipsi sijue shade yaani unanyonya chemical.
Mwanamke kuwa msafi paka mafuta yako mazuri utapendeza tu sio vitu vya ajabu.
Ni hawa wanaojadili wanawake kila kukicha. .BADALA YA KUTAFUTA MBINU MAKINI YA KUTAFUTA PESA NA MAENDELEO. ..chaaa! These people are not watsoro pfo! Leka ngiende ambia wo mangi wo koru mbe Kanyi!Wanaume hamna jema na wanawake
Mkuu nimependa hiyo ID yako,Silicon Valley!Hongera sana, hakika ni wachache sana hapa duniani wenye HAIBA yako ,wengi wanadhani UUBANDIA NDIO UREMBO