Wanawake Jitafakarini

Brother sina kawaida ya kuandika story z uongo humu ndani, hayo ndio maisha nayopitia now. Nadhani utaelewa kwanini kichwa cha habari kipo vile hapo badae. Sio tungo hiyo
Maliza story acha mambo ya kitoto huoni kina deepPond mpaka wamekua wenye viti we wa wapi bana usituchoshe
 
Nimekaa siti ya mbele malizia story japo nimeshaelewa mwishowe utakuwaje
 
Mmmh! Aseee.!! Pombe hii kitu ni hatari, na bila shaka ULIUZA mechi braza. Embu malizia hii drama mzee.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
kazi nzuri,,,,ukiweka muendelezo nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…