Wanawake hawakua kwenye plan ya Mungu...

hii ungeiweka katika mtindo mzuri halafu ukaitupia kule jamii intelligence au hata habari na hoja mchanganyiko! maana huko ndo kuna nondo kama hizi za kufikirisha sana na kufuru kufuru zikiwezo.

Hili jukwaa la malavidavi na friendship huu uzi umekosea njia,ni kama bongo bahati mbaya tu.
 
Povu,, ni kweli aliyosema,, Mungu alikuwa kashafunga kazi, ndio maana akaamua ajichomolee viubavu kadhaa kwa adam,, aunge unge apate mwanamke
 
Povu,, ni kweli aliyosema,, Mungu alikuwa kashafunga kazi, ndio maana akaamua ajichomolee viubavu kadhaa kwa adam,, aunge unge apate mwanamke

Jamani msijibu kama mtakavyo. Jibuni kwa uelewa wa biblia. Unaweza niambia ilipoandikwa kwamba Mungu akajichomolea vijimbavu kadhaa vya Adam, halafu akaviunga unga, akampata mwanamke?? Sipendagi kutaniana na neno la Mungu. Kwangu, Mungu ni mkuu sana namwogopa mno. Nitataniana na Pompey kwa sababu tunajua kukaa nyuma ya key board na kuchapa herufi hizi. Mungu hakai kwenye key board. Hutamka ikawa.
 
 


wanawake wakiondolewa duniani wewe utakua na raha gani ya kuishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…