Kuna dada mmoja namuelewaga sana nikajitahidi kupata mawasliano nae nikafanikiwa tukawa marafik kabsa.
Zilipofika nyakati za kumtongoza nikafanya hivo na akasema naomba muda kidgo takujibu. Sasa baada ya muda kwenda sana naona hanijibu chochote yeye anataka tu story ukimkumbushia anasema bado kiufupi naona nikupotezeana muda tu!
mambo ya urafik na mwanamke siyawezagi kabisa, ikafikia hatua nikamwambia ww kama haujanielewa niambie tu usihofu au kama una mtu wako niambie nisikusumbue, akasema takujibu nipe muda huu mwezi wa pili ananiletea huu utoto!
Wanawake acheni kupotezsa watu muda, kama una mtu wako ukitongozwa kataa acha kumzungusha mtu huu ni upimbi.. kama mtu kakutongoza na unaona haendani na ww au haujamuelewa mchane asikusumbue. kwann unampotezea muda wake?yaan kusema tu ndio au hapana linakuwa swala la kama madai!!