Wanawake hawaa!!!

hahahahaha.......hizi ndoto bwana sa nyingine zinakutokea kweli.

Kweli mkuu kuna mtu alishaota amebeba begi la pesa anakimbizwa ila sarafu zinaanguka. Akaziba palipotoboka na mkono kuja kuamka kajikuta kajishindilia kidole kwenye asshole a.k.a mkun.duni
 
Kweli mkuu kuna mtu alishaota amebeba begi la pesa anakimbizwa ila sarafu zinaanguka. Akaziba palipotoboka na mkono kuja kuamka kajikuta kajishindilia kidole kwenye asshole a.k.a mkun.duni
duh wengine walimwelewa kweli.......ila dada yangu alishawahi kujikojolea wakati yuko la sita aliota anacheza kombolela sasa ile ngoja nikakojoe anashtuka yuko kwa bed loh na ameshaumwaga tayari.
 

Hahahahahaha..dah. Ila mkuu,jamaa si ilibidi awe jogoo lakin
 
hawa wazee wanasumbua sana,

wanakero sana hao jaman mmda wao umeshapita bna hawajui saiv ni generation mpya au kero kero kan aliombwa achangie apa sasa uku ni utani na vichekesho sasa alizani ni pasiasa umu au dah. Ajipange bna kazi kuponda ponda ushuzi tu.
 
we sepa mkuu tuache na raha zetu! tena sepa na stres zako uko ujaonaga nini? aagghh!
 
mzee ana stres za kustaafu uyo afu hajajiandaa..lol!
 
wakati mwingine unasoma thread ukidhani ina kitu cha maana baada ya kuisoma unakuta umepoteza bure muda wako. kuweni wabunifu topic za darasa la pili hazifai humu

HILI JUKWAA LINAITWA JOKES NA UDAKU INCASE UMEINGIA BAHATI MBAYA:msela:
 

JAMANI HII NDOTO IMENIACHA HOI, SIJUI MKE WAKE ALIMWAMBIAJE:caked:
 
asante kwa kutukumbusha kwa maana tulishaisahau
Nalog off
 

Dah.... u've made ma day...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…