lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
When i get a girl na nikamwambia i love her very much its a big problem na huwa hatufiki mwaka,halafu kuna watu wakanishauri kuwa usimuonyeshe mwanamke kama unampenda!
So whats love??!???
Whats love? In Bongo? You wont get any suitable answer?
Uko sawa kabisa, tatizo lako ni mwandiko tu.
Mwanamke ukimsifia anaishiwa nguvu gafla. anakua mpole utadhani anabatizwa.Au utadhani amesahau nauli akiwa ndani ya daladala.Hata katika hali ya kawaida, mwambie mdada "umependeza dada" utaona reaction yake, hata kama kiuhalisia sivyo. Jaribu tena kwa mwimgine nae mwambie " mbona upo shabby kiasi hicho?"..then angalia reaction yake!!!
Wanawake wanapenda kusifiwa Sana...sijui kwa nini!!
Shit...form 4 uyo tn in another ......!?
mapenzi kudanganyana hadi raha ukiongea ukweli imekula kwako.