Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Anayepelekea mwanamke kutoa tigo ni nan?
Nahisi hisia zake tu mwenyeweAnayepelekea mwanamke kutoa tigo ni nan?
Nimependa comment yakoMwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye
Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe
Asante my diaNimependa comment yako
Well said!Mwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye
Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe
Mwanaume ndio anakuomba au wew unataka but wew ukisema no sitaki hawezi kukuforce.....hili ni tatizo acheni kabsaAnayepelekea mwanamke kutoa tigo ni nan?
Mkuu, kumbe kujizungusha kote huku.... Ulikua unatangaza biashara...Habarini wandugu,swala la mapenzi kinyume na maambile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za ****** hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa juto kuzidi,huharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shapelegevu.pia wanaume hupata madhara mengi kama infection,kuziba mkojo,kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa njia ya kawaida,kupoteza hisia za uanaume na mwisho huleta dhambi....karibuni pm kwa matibabu kama umekua affected pia kwa ushauri ili uache....asanten
No nimeona Sana'a uku jf watu wanashinikiza sana hiyo ngono ila Mimi nakutana sana na hizi kesi na tunapata tabu kuwahudumia hawa kinadada/mama.....bora ninywe maji kuliko huo upuuziHahahahaaa mtoa post umefirimbwa nini?? Pole sana mkuu
Weka wazi usaidie waathirika sio mpaka pm,kama una fanya biashara ya tiba mbadara weka wazi utambulike,, au huna kitambulisho cha kurusu kufanya biashara hadharani mpaka ujifiche huko private messageHabarini wandugu,swala la mapenzi kinyume na maambile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za ****** hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa juto kuzidi,huharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shapelegevu.pia wanaume hupata madhara mengi kama infection,kuziba mkojo,kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa njia ya kawaida,kupoteza hisia za uanaume na mwisho huleta dhambi....karibuni pm kwa matibabu kama umekua affected pia kwa ushauri ili uache....asanten
Wala huna pesa ya kunilipa Mimi wala Tina yake hahitaji pesa.....acha ulimbukeniMkuu, kumbe kujizungusha kote huku.... Ulikua unatangaza biashara...
Hili ni tangazo la biashara..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pm Kuna tiba, loh
Mwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye
Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe
Wala huna pesa ya kunilipa Mimi wala Tina yake hahitaji pesa.....acha ulimbukeni