eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 476
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna haki sawa chini ya jua ilo liko wazii.wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku mtasema mwanaume na yy abebe mimba MNAKERA SANA .
.Ukileta kimbelembele cha haki sawa kwenye uhusiano unapigwa chini ukaolewe kwa wale wanaokutia kichwa mpaka kinakua kikubwa na pua zinatanuka..
Mkuu,wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku mtasema mwanaume na yy abebe mimba MNAKERA SANA .
.Ukileta kimbelembele cha haki sawa kwenye uhusiano unapigwa chini ukaolewe kwa wale wanaokutia kichwa mpaka kinakua kikubwa na pua zinatanuka..
Mkuu,
Tuanze kwanza na maana ya HAKI ni nini.
Je, kuosha vyombo, Kupika, Kudeki ni HAKI??
Turejee somo la uraia kidato cha I. "What is Civics?"
[emoji117]Civics is the study of rights and responsibilities of Citizens" hoja rights na duties ni zipi??
Ulizotaja zote hapa hakuna hata 1 ambayo ni right. Umetaja zote duties. Mimi ni KE hebu nitajie rights/right ambayo cc hatutakiwi kudai ili utushawishi.
Haaa haaa hatari sana ila mkibanwaga huko sehemu yamkupozea stress hapo hapo kwenye mabega[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndani mwangu kuna wakat nitakua Kichwa ,mke wangu atakua shingo yaaan hapa ni fulu kumskilizaa .
Ila kuna wakati nitakua kichwa yeye atakua mabega ...hapa nifulu kumfinya finya pale atakapoleta ujinga km huo.
Sizani kama kuna mke mwenye maadili anaweza mfanyia hivyo mmewe labda mke mgonjwa hapo mme hawezi kufanya usafi ndani au atasubili mpaka mke apone?Ni hivi kuna haki na responsibilities na duties...yale majukumu ya mwanamke kwny nyumba au mahusiano wanayadiverge yawe haki kwamba kila part ifanye hayo majukumu...hii ni big NO siez deki akat kuna mke ndani...yaaan ntafte pesa nirud home nkukaze kwa ngv zang bdo tena niinamishe mgongo aisee HAPANA labda km unaumwa au mjamzito...kila mtu aplay part yake bhna