Pole mkuu ila nachoona hapo huyo anahitaji kugegedwa kwani tangia ajifungue umepiga mzigo?..km umepiga basi kuwa mpole endelea kusema ukweli juu ya maswali yk kwani huo ni udhaifu wake
Nasikia ninyi wajeda ni watu wa 3 W[SUB]s[/SUB]--War, Wine, Women
Labda niulize.....ni kwanini huwa ,mnahusishwa sana na uchepukaji?
Ni kweli hyo police wao wana Nyakubi..yaani Nyama,,,k,,,na bia
mkuu bora huyo wako wangu anadaigi tuachane kabisa
ila badae nilikuja kugundua ni wivu wake tu.
Kwa ushauri wng we mfanyie vi2 ambavyo yemwenyewe akiviona vina mpendeza in short we msikìlize tuu
asante
hayo mambo yakuwekana kwenye profile mara huyu jiran yangu, mara shangazi yake bibi yake yule dada angu wa salon tulishare mama mkubwa, siyapendi aisee. umemaliza picha za mkeo zote na za mtoto, zako, ndugu zako, na za quote mbali mbali hadi uweke picha ambazo mwenzio hawafahamu, Wallah!!! ningekuwa huyo mkeo na ujeda wako ningekung'oa meno na kijiko.
Jaribu kutafuta rafiki yake wa karibu au dada yake kama anaye umweleze tatizo,pengine wanaweza kumshauri na ikasaidia,maana kwa wewe imesha shindikana kwani hakuamini kutokana na wivu wake uliopitiliza.
Asikwambie mtu,wivu wa mwanamke ukipitiliza ,hakika amani hutoweka ndani .nasema hivyo kwani nina experience na hilo tatizo.