makaburini
Member
- Dec 14, 2011
- 19
- 22
.... halafu bado nahesabika kama mume,hapana labda nivalishwe dera mimi!mke gari ajinunulie na mafuta ajiwekee sasa mimi kazi yangu ni usiku tu au??wanaume badilikeni acheni hizo tunzeni wake zenu au vipi the boss gonga like basi....mtambuzi....wapi chelenje umeadimika sana au uko na ile ID nyingine?
kama una mtotot wako anasoma jaribu kumpa asome atakwambia maudhui yakeMaudhui ya hii sredi ni nini!? au muradi sredi?
Wewe endelea kutunza familia yako na achana na UMBEYA na KUFUATILIA maisha ya Wanaume wenzio...!
na kuna wanaume wengine wanaitwa asha ngedere piakweli kabisa mkuu!wanaume akili zetu mbovu kabisa!hata kwenye mambo madogo madogo akili zetu ni madudu tuu!fikiria eti mwanaume anajiita MAKABURINI?sisi wanaume hovyo kabisa
mc tilly mimi ntamnunulia vitz mkeo sawa ehhhh halafu na wewe utapanda kaka usihofu.:high5: