Kuna kitu unataka kusema.Praise lord.....
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI
Sehemu ya kwanza ni mwanaume kumpenda mke, mme kuwa tayari kutoa chochote Kwa ajili ya mke
Sehemu ya pili,
-Upendo wa YESU Kwa kanisa hakika ni upendo wa AGAPE, unconditional love.
-Akatoa uhai wake Kwa ajili yangu Mimi na wewe ili tuokolewe,kama alitoa uhai je ni nini anaweza shindwa kutupatia? Hakika anatupenda.
Sehemu ya kwanza ya Fungu hili,
1. mpende sana mke wako hata kama unaona kama hakupendi ni wajibu wako kumpenda.
2. Kuwa tayari kumpa chochote anachokuomba , Fanya juu chini umpe, usiseme Sina .
3.Inapohitajika kufa Kwa ajili yake Fanya hivyo bila kusita.
4.
5.
Mwisho
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
1 Petro 3:7
Kumpenda mke kama yesu anavyolipenda kanisa , naona ni hatari Kwa wanaume, tutawapoteza wengiKuna kitu unataka kusema.
Ila hapa nimetoka kapa. Huo uhatari ni upi Mkuu?
π Eti eePraise lord.....
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI
Sehemu ya kwanza ni mwanaume kumpenda mke, mme kuwa tayari kutoa chochote Kwa ajili ya mke
Sehemu ya pili,
-Upendo wa YESU Kwa kanisa hakika ni upendo wa AGAPE, unconditional love.
-Akatoa uhai wake Kwa ajili yangu Mimi na wewe ili tuokolewe,kama alitoa uhai je ni nini anaweza shindwa kutupatia? Hakika anatupenda.
Sehemu ya kwanza ya Fungu hili,
1. mpende sana mke wako hata kama unaona kama hakupendi ni wajibu wako kumpenda.
2. Kuwa tayari kumpa chochote anachokuomba , Fanya juu chini umpe, usiseme Sina .
3.Inapohitajika kufa Kwa ajili yake Fanya hivyo bila kusita.
4.
5.
Mwisho
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
1 Petro 3:7
Unaachaje kuoa , watoto wazuri hivi?Nasi wanaume wakataa ndoa twasema hvView attachment 3065571
Hawatakiwi kutupenda,wanatakiwa kutuheshimu tu!Na nyie wanawake wapendeni waume zaenu
Ova
Yes ndo maana wanaume wanaambiwa kuishi nao Kwa akiliManeno ya Mungu always yanampakulia nyana mke mwema, Kwahiyo mume ataangalia sasa kama mkewe ni mwema au Gweruu ndipo aone kama hayo uliyoyaandika yanamfaa mkewe.
πππππacha watu waoeNasi wanaume wakataa ndoa twasema hvView attachment 3065571
Imeandikwa kuwatii tu hiyo kuwapenda ni kiherehere. π₯Na nyie wanawake wapendeni waume zaenu
Ova
π₯Ίπ₯ΊImeandikwa kuwatii tu hiyo kuwapenda ni kiherehere. π₯
Praise lord.....
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI
Sehemu ya kwanza ni mwanaume kumpenda mke, mme kuwa tayari kutoa chochote Kwa ajili ya mke
Sehemu ya pili,
- Upendo wa YESU Kwa kanisa hakika ni upendo wa AGAPE, unconditional love.
- Akatoa uhai wake Kwa ajili yangu Mimi na wewe ili tuokolewe,kama alitoa uhai je ni nini anaweza shindwa kutupatia? Hakika anatupenda.