Ungetuambia vema yaliyokukuta. Baada ya kupata apointment na jamaa.Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
We haupo hivyo[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]oh okey basi sawa.
Mkuu mzee wa Chura nimekupa like!Rafiki jana chura imefanikiwa kuzinduliwa?[emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi Kumbe Wametoa notifications kwanini?Mwenzangu nshavizia mpaka nimechokaaa...
Mods, mkimaliza kusoma notifications zangu mnitumie basi na mie
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mzee wa Chura nimekupa like!
NipoMama Sabrina upo?
Espy Heaven Sent yuko wapi ???Mama sabrina shenzi wewe, nimecheka jamani, sikutegemea kukutana na hiyo picha ya chini baada ya kuona picha ya juu.
Yupo mbona! Heaven Sent njoo kipenzi unatafutwa huku.Espy Heaven Sent yuko wapi ???
Yupo kabisaaa, Salama Salmini.
Anapotea sana bwana, mwambie asitufanyie hivyo tunammiss.Yupo kabisaaa, Salama Salmini.
Hahahaaa!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo umenikumbushaaa mbali ukikutana na mwanaume yuko tofaut na comment zakee lazima utoke nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]unaacha vumbiii
Kabanwa tu na majukumu,...Anapotea sana bwana, mwambie asitufanyie hivyo tunammiss.