kajiongeza. Ameona.sredi ya kutoka na nani weekend haitamfaa basi akaja hivi.Tumegundua janja zako,unajifanya unawatetea kumbe ndo janja zako ili wakuonee huruma na ww uanze ligi
Na wewe nani aliekwambia utuwekee kitambi chako kwenye avatarMkuu hivi wewe mgeni tunabadilishiwa majina kila siku na haohao unaowasema
Mara viba100, Mara kitandani zero , Mara mhogo mkubwa matumizi zero , Mara tunabwabwaja bwabwaja tuuuuu
Hayo sijui unafurahia Luna wanawake wanamajibu humu waweza kinaiwa kula siku saba
Lkn me na ke ni utani wa jadi kupondana lzm
Sijui umekua lini sisi tulipotaka kumtongoza mwanamke unatukana na kumshushua KBS mpaka anakuogopa harafu unatupa ndoano unamuopoa kilaini
Ukienda ka zuzu humpati labda wa ck hizi
Teh
Kaja na plan bkajiongeza. Ameona.sredi ya kutoka na nani weekend haitamfaa basi akaja hivi.
Tumegundua janja zako,unajifanya unawatetea kumbe ndo janja zako ili wakuonee huruma na ww uanze ligi
Hata kama vyuma vimekaza lakini principle ya utamu hulipiwa inabaki pale pale!Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
Wewe Nani kakuambia utuwekee mdoli ukatupa mgonggoNa wewe nani aliekwambia utuwekee kitambi chako kwenye avatar