Wanaume Wa Dar....!!!

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,073
Sisi ndio wanaume wa Dar,
Wanaume wa dar hatutaki shida kabisa, si kwetu vitu mtelezo kama tunateleza kwenye ganda la ndizi ndivyo tunapenda na hapo ndipo tofauti yetu kubwa kati ya wanaume wa Dar na Wa Mikoani huko sijui Simiyu sijui Mbeya...!!
Wanaume wa Dar kwetu muwa tunasubiri uchujwe juice ndo tunywe, habari za kuhangaika kuumenya ni kuumiza meno bure tu, chakula chetu chipsi zege tena hatuweza kulimaliza hata siku moja, kwani tunaenda kulima??
Usiku ukifika ni mwendo wa pweza na kachori barabarani, huku tukijiweka sawa kwa ajili ya mikikimikiki ya usiku na mamusapu, unapiga kimoja unalala tuonane kesho!! Wanaume wa mikoan hata kula barabarani hawawezi...
Karibu wanaume wa dar muwafundishe wanaume wa mikoani jinsi tunavyoishi!!
 

Attachments

  • DSC00573.JPG
    63.5 KB · Views: 33
Mbona umeandika kimbea kama umetoka kucheza ngoma.

Hata Bashite naye anajiita mwanaume wa Dar... sishangai.
 
Mbona umeandika kimbea kama umetoka kucheza ngoma.

Hata Bashite naye anajiita mwanaume wa Dar... sishangai.
kwani bashite ni nani mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…