Pole mkuu..Mimi mume wangu akiyumba huwa namwambia aache kupanic tunakuwa tunasurvive na za kwangu wakati yeye anajiweka sawa
Then after a while na yeye anakuwa stable tena tunaendelea na maisha. Kunyanyasana mwiko.

Usijali mkuu hata mke wako anaweza change kulingana na unavyomtreat ukiwa na hela....sometimes mtu anajijengea tabia kutokana na mazingira na aliyowahi kuyapitia.