Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,990
- 3,698
Iko wazi kuwa jamaa ameshapata kimwana mwingine wa jiji la mwendokasi ndio.kama hatujui sababu za jamaa kufanya hayo basi hatuna sababu za kutoa maamuzi
Una ushahidi?Iko wazi kuwa jamaa ameshapata kimwana mwingine wa jiji la mwendokasi ndio.
tabia yako ya kuandika the same reply 50 times inakera..kombafnashukuru kwakulitambua hilo ila kama hujamalizia mkasa vile!!!!! mwanamke ni mzuri sana kwa mtu mzuri pia ni mbaya sana kwa mtu mbaya,,,,,,
Ha haa watu wa dar walishasemaga wako busy sana[emoji41] [emoji41] ngoja waje mim sipoWatu wa dar walishasema wako busy sana
Fafanua kidogo me toonashukuru kwakulitambua hilo ila kama hujamalizia mkasa vile!!!!! mwanamke ni mzuri sana kwa mtu mzuri pia ni mbaya sana kwa mtu mbaya,,,,,,
Mwanaume ana mtongoza msichana Leo kabla hajajibiwa ashatongoza mwingine na mwingine ....hilo ndio tatizo linakuja pale unapokubaliwa na wote....na hutaki kuwaangusha unakomaa naoo ...kujitia kidume unaanza ...kupanga mioyo yao kwenye foleni....Nimejickia vibaya sana yan nimevaa uhusika utazan mi ndo nilikuwa mlengwa. Anyway mbadilike tu kwa kwel wanaume