Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii

Hata hawajui walitakalo....sorry for them!
Samahani mpenzi, una umri gani?
Samahani mpenzi, una umri gani?
He he he uwiiiiii ulinimiss nini?Umeanza!!!!
ana umri wa kukaguliwa
Hivi bado unatongoza na umri huu?
Samahani mpenzi, una umri gani?
Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii
Say who?????Mi nikikuzimia natia timu tu!!!
Kama unanizimika na sijakustukia just click the button and the iddling sound will be heard!!!! Halafu be a lady from there on sio mteremko kama kilima nanihii pale o'bay!!!!
Mwisho wa yote ni unavyohandle huo mtongozano ndio huhamasisha kwenda next level!!!!!
Everybody loves attention so show it when it is needed yaweza kuwa na effect kuliko maneno!!!!
Say who?????