Mkuu ulisahau ulichokua unataka kushare. Kichwa Cha habari kingine , yaliyomo mengine.
Sawa na yule jamaa wa tafakari time, anaulizwa kingine yeye anajibu tofauti na alivyoulizwa. Unaelewa Nini kuhusu elimu bure, akajibu naelewa ni kitanda ambacho watu wamekitandika, kukaa na kuongea ongea.