Hivi ni sahihi kwa wanaume kuogopa kuoa wanawake wasomi, mi nadhani c sahih coz mwanaume kuogop kuoa msomi ni kujivua badhi ya kuw kichwa na kumpa mwanamke...achen uoga oaneni na muapndao ragardless wana stutas gan au vp wakuu
Thread yenyewe umeiandika andika tu!! Iko rafu rafu
Anyway unavodhani ni sahihi,lakini mapenzi hayachagui na mara nyng watu huoa wenzi wanaorandana kwa mambo fulani fulani.
Mfano:mtu wa mashine kumwoa msichana wa kazi si ajabu