mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
We ndo walewale itakua kula muwa huwez mpaka ukamuliweAcha gubu dada. Siumwambie mumeo kwani lazima uje umseme humu?
Au hakuridhishi bedini?
Poa tu. Nipe na zaga basi kama nitashindwa mpaka unikamulie! [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]We ndo walewale itakua kula muwa huwez mpaka ukamuliwe
We ata nguvu za kunyea huna utaweza zagaPoa tu. Nipe na zaga basi kama nitashindwa mpaka unikamulie! [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Nitunuku mkuu tutest kama zipo au hazipo.We ata nguvu za kunyea huna utaweza zaga
Kama una hasira jamba upaeeNitunuku mkuu tutest kama zipo au hazipo.
Sasa umekuja kumuanika mumeo humu JFDume zima badala ya kusema jamani lasema jomoni,au jingine linashadadia kudamshi et ooh nimedamshi eeh
Viuno sasa dume lakata viuno balaa
Series sasa Yan mpaka episode ya 2000 yupo tu
Jingine ikifika saa 4 usiku linaangalia muhtesem yuzzly aambiwa naye Ni timu hurem
Badilikeni wote wenye twabia hizi
Niite kwa jina languSasa umekuja kumuanika mumeo humu JF
Soma jina kwanzasamahani Dada umeolewa?
Mjambie mumeo aondoke hapo sebuleni uangalie TV vizuri.Kama una hasira jamba upaee
Soma jina kwanza
Mbona post imekutachi yaelekea tabia hizo unazo afu me Ni dume sema Mimi Ni mla Dona siyo wewe ugali sembe kiepe yai mtoto laini from dar wewe yaelekeaMjambie mumeo aondoke hapo sebuleni uangalie TV vizuri.
Hahahaaa noma sanaWe ndo walewale itakua kula muwa huwez mpaka ukamuliwe
Duh. Hizi ID nyingine bana. Mimi najua ni mmama kumbe ni dume.Mbona post imekutachi yaelekea tabia hizo unazo afu me Ni dume sema Mimi Ni mla Dona siyo wewe ugali sembe kiepe yai mtoto laini from dar wewe yaelekea