Wanaume mnanini mnanikera sana

Sio wangu huyo ni mshkaji wangu tu mie sinaga shida mwaya aangalie amfuate , mie mapenzi na maokoto basi
Ok unaweza mpa ushauri kwa kumchunguza rafiki yako wa kike kwanza.
Hili jambo limewatokea wengi sana ila baadaye wanakuja kugundua kumbe na wao wana tabia hizo.
 
mambo yetu wanaume tuachie wenyewe
 
Kawaida hiyo ila kwa vile walioumbika wako wengi siwapi attention maana najua siwezi wapata.

Nikiona demu mzuri wa sura au shape naangalia pembeni haraka maana najua ntamuangalia ila kumpata ni kipengele kikubwa tena kwangu (domo zege)

Nadhani tunatofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…