Wanaume mnakwama wapi?

WANAWAKE mnaowanyima unyumba waume zenu mnaakili kweli au vichwa box kama umechoka au unajiskia vibaya unamwambia tu sikuliko kuniambia staki nikiuliza kwanin eti Staki tu kwani lazima ukinikuta nagonoka na mdogo wako au Dada Ako utanilaum
 
Na ww si umpe tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hainiingi akilini akukosee kijana wako wa kiume na uje hapa utumie wingi wa wanaume utadhani ulikuwa na kundi la wanaume wanaokubandua. Umoja na wingi vilikupita kushoto siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…