katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Asante na kwako piaHAPPY WEEKEND .
hata hao uliowasema walikua wema mwanzoni.Unakuta mnalala na majambazi wachawi walevi wachafu unakuta demu ananuka mdomo vikwapa na sehemu nyingine.
Utazani haogi.
Utakuta mwanaume anamwanamke mwenyw roho mbaya kama nini hataki kuwasaidia ndugu wa mume na wala hata wakwe zake.
Kamtu kana roho mbaya kananyanyasa watoto aliowakuta.
Unakuta mnalala na matapeli na malaya
apo unakuta kaoa kisa ya wowowo lazm mbele ajuteUnakuta mnalala na majambazi wachawi walevi wachafu unakuta demu ananuka mdomo vikwapa na sehemu nyingine.
Utazani haogi.
Utakuta mwanaume anamwanamke mwenyw roho mbaya kama nini hataki kuwasaidia ndugu wa mume na wala hata wakwe zake.
Kamtu kana roho mbaya kananyanyasa watoto aliowakuta.
Unakuta mnalala na matapeli na malaya sijui huwa nyie wanaume tuwaweke group gani.
Mnashangaza halafu unakuta wale wema wazuri waelewa hamuawataki na kama mpo single au mnajutia ndoa mlizo nazo mnamlaumugi nani kwani hamkuwa mnamaamuzi kabla ya kuoa??
Dili na hali zenu sasa.
Wengine mmezaa na hao matapeli na majambazi ma wachawi.
HAPPY WEEKEND .
Unatushaur nn mkuu??Unakuta mnalala na majambazi wachawi walevi wachafu unakuta demu ananuka mdomo vikwapa na sehemu nyingine.
Utazani haogi.
Utakuta mwanaume anamwanamke mwenyw roho mbaya kama nini hataki kuwasaidia ndugu wa mume na wala hata wakwe zake.
Kamtu kana roho mbaya kananyanyasa watoto aliowakuta.
Unakuta mnalala na matapeli na malaya sijui huwa nyie wanaume tuwaweke group gani.
Mnashangaza halafu unakuta wale wema wazuri waelewa hamuawataki na kama mpo single au mnajutia ndoa mlizo nazo mnamlaumugi nani kwani hamkuwa mnamaamuzi kabla ya kuoa??
Dili na hali zenu sasa.
Wengine mmezaa na hao matapeli na majambazi ma wachawi.
HAPPY WEEKEND .
Nipe ushaur SAS nifnyj boss?apo unakuta kaoa kisa ya wowowo lazm mbele ajute
wew oa anayeweza kulinda moyo wako nadhan umeelewaNipe ushaur SAS nifnyj boss?
Ntafanyia kazi ila ngoja niendlee kuangalia izi muvi kwa wengn kwa miaka kam mi5 kwanza ndo ntajua nafnyj mkuuwew oa anayeweza kulinda moyo wako nadhan umeelewa
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisahata hao uliowasema walikua wema mwanzoni.
UKUTE SASA MALAYA WAWILI WAMEOWANA... MALAYA WA KIKE NA MALAYA WA KIUME...Hata sisi wanaume tupo Majambazi, Walevi, Wachawi na wachafu
Na bado tuna wanawake wetu
kama Ksehemu nyingine
[emoji16]Kila kiatu kina mguu wake.
Like attracts like the universal law of attractionUnakuta mnalala na majambazi wachawi walevi wachafu unakuta demu ananuka mdomo vikwapa na sehemu nyingine.