Nipe namba yako nikupigie[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
bora nibaki na no yangu maana huchelewi kunambia na ugawaji wa noah zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi nicheke tu, naomba namba yako me siko bize sana[emoji12]
mnaomba omba sana...yaani dk mbili nyingi mnakuja na bill zenu zile...Tena anakupa simu yake uandike teh teh,
Ukimaliza anauliza nisave nani?
Unamtajia kwa mbwembwe..
Baada ya hapo chaliii huoni simu wala sms
Kweli kabisa shemeji.Poa,
Napitia mada, muda huu ili kujifunza hili na lile.
yani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewi
Hahahaaaaa!!jaman nimecheka sana jaman ! mie sipend kuombwa namba public! jaman unakuwa unajistukia tu !hebu wanaume halisi tengezeni business card jaman ! na sie tutengenezege mwee ! cc demi ,Neybright ,Heaven Sent ,espy ,Nalendwa ,Doris Gabriel ,babydoll
Hahaaaaa. Hata sijajua.Nikipiga utapokea?
Kweli kabisa shemeji.
Uwe na wakati mzuri
Au itategemea na wakati nakupigia utakuwa uko na nani?Hahaaaaa. Hata sijajua.
[emoji106]Shukurani, Shem.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Subiria Hapo hapo mama zinakuja sa hvi Umesahu na TTCL Pesa
Hebu ufunge halafu nipigie basi.... Sio vizuri hivyo ujueAiseee.......[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
kabisa ndio yako hayoyani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewi
Wajuaje huyo aliyekuomba namba labda kashakufa na huna habariNimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Kufuata tena? OkeyUyo umemuweza, kwangu utafata pesa sio nikitumie.
Tatizo na nyie mkiombwa mnakazaaaa, pengine mtu anashuka baada ya vituo viwili wewe humuelewi tu. hebu mkiombwa toeni hizo namba jamaniNimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.