Sipati picha ambavyo huwa unasubiria?haahahahahhha, duuu! nimecheka hapo mwishoni pamoja na hiyo picha hahahahaha
Mie nasubiria hasa sms za m-pesa, tigopesa, halopesa, airtel money, hahahahahah nimemkumbuka mtani wangu miss chaggaSipati picha ambavyo huwa unasubiria?
ha haMie nasubiria hasa sms za m-pesa, tigopesa, halopesa, airtel money, hahahahahah nimemkumbuka mtani wangu miss chagga
hahahahaha, nimekuchokoza hahahahahahhahaha ha
yani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewihahahahaha, nimekuchokoza hahahahahahhaha
hahha, mpigie umuulize asikuchezeee! tena na buluuu mandei hahahahahahahahayani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewi
Naomba number yako eeehNimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki,mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue,
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili ,eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa,sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]