Wanaume kwenye mahusiano

DEGIJONZE

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
144
Reaction score
89
Jaman naomba msaada tutani,hivi kwanin siku hizi kwenye mahusiano ya kimapenzi wanaume ndo tumekuwa tunashutumiwa na kusingiziwa na hawa wenzetu wa jinsia nyingine, kwamba sisi ndo chanzo cha matatizo kama vile michepuko,na kiuhalisia siyo kweli.
naomba msaada kwa hili maana linachosha na kuudhi.
 

Sio kushutumiwa asilimia kubwa sisi wanaume actually ndo sos
 
Ingekuwa sio kweli mngekuwa mnaambiwa nyie ndio vivuruge
 
Ni kwel mkuu maana sisi karibia siku nzima tunawaza sexy asilimia 70. Na ni wepes sana wa kuassume mademu wengine nje na demu wako.
 
una wanawake wangapi??

wako w/anakushtumu??

kama hakuna tuhuma acha kufatilia mambo ya watu wengine πŸ˜‰
 
We usjali piga kazi tu atachagua mwenyewe kukuamini au kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…