Wanaume kwa Wanawake - Je Wajua

Hahaha ina depend bhn labda kikwapa cha mzungu.... We kikwapa cha mchiz wa tandale unambie kinakupa furaha lol
 
Mi ukinipaka jasho lako la kwapani tu nafurahi muda wote
Ila nilikua nasemea wanawake wengine tu wanapenda money ili wafurahi ila sio mie[emoji26][emoji26]
Hata jasho lililotokana na Kuchimba mitaro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…