Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,983
- Thread starter
-
- #21
[emoji1787][emoji1787]
Kwangu wameshafika tisaWanawake saba watanmng'ang'ania mwanaume mmoja wakitaka kuitwa kwa jina lake
Inasikitisha sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo hasara ya kuukataa mfumo dume. Mtoto wa kiume anaambiwa upo sawa na dadaako in all aspects, matokeo yake hata akishikwa kalio na mwanaume haonyeshi reaction kwa kuwa anaona dada yake anashikwaga kalio na mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiumbe kinacho itwa mwanaume kinapotea kwa kasi ya ajubu katika uso wa Dunia kuliko ata Tembo na Mbwa mwitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke Mkuu hali ni mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]