Wanaume au Wanawake???????????

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Hivi siku hizi katika mahusiano wapi wanasumbua hasa???wanawake au wanaume??maana kuna kauli mbalimbali sana utasikia wanawake wa siku hizi bwanaa wasumbufu ile mbaya hivi ni jinsia zote mbili au??hebu itajeni ipi sumbufu hasa na sababu zake ili tupate direction katika mahusiano
 
wanawake....tatizo wanagawa papuchi sana
 
Wote wanazinguana, unaweza kukuta mke ni mtaratibu safi sana, lakini hataki kumpatia mumewe haki yake, unakuta anamgawia mara moja kwa mwezi, jamaa anaamua kusepa nje, akija nayeye anajikausha, naukute ndo siku hiyo mwanamke naye anakutaka sasa, misuguano inaanza kidogo kidogo.
 
Mwanamke mpumbavu huipasua nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, bali sijawahi kuona andiko lolote linalosema mwanaume anaipasua ndoa. Kazi ya mwanamke ni kuolewa na kuhakikisha ndoa inadumu kwa mbinu zote na hata kama mume atakuwa mlevi, mzinzi, muuaji, nk ni juu ya mke kutunza ndoa na kuwa kivutio cha kum-badili mumewe katika uovu wake. Hakuna mke mwema atakayevunjikiwa na ndoa hata mmoja na mke mwema hutoka kwa bwana. Wake zenu hao wa kurokota wanaoendekeza ustaarabu wa mtu mweupe ambaye kazi yake ni kusambaza uasi dhidi ya mungu hawawezi kutunza ndoa kabisa kwa kuwa ndoa ni taasisi ya kimungu na haiendeshwi na mafahali wawili ndani ya nyumba. Wewe unamuona kabisa msichana anapigia kelele mfumo dume na wewe kama kondoo unaenda mbele na kuoa itakuwa vigumu kusema nani mkosaji wewe uliyeoa nje ya misingi au huyo kicheche wako uliyeoa.
 
Mwanamke mpumbavu huipasua nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, bali sijawahi kuona andiko lolote linalosema mwanaume anaipasua ndoa.

Maandiko yameandikwa na mwanadamu mwenye mikono na miguu miwili kama wewe!!!!
 
Hii digital era ndio imeharibu kila kitu lol.

Jinsia zote utata mtupuuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…