wanaume acheni kuvaa bikini!

mkuu jaribu hata kugoogle maana halisi ya neno bikini, then upime na huo mfano wako wa suti...uone ni jinsi gani ulivyoenda chaka

Wat 8 hiyo KIBONGO BONGO, mtaani kwetu ukiulizia LESS WIG hupati mbona! We ulizia WIG LESS hapo utalipata mara moja. Mambo ya USWAHILI USWAHILINI
 
Njoo upate bia hapa Etina bar
 

hizo za kiume nazo zinapita bonde la ufa? zitakuwa za mashoga hizo. mwanaume mzima kamba inapita kwenye unyeo na unaonyesha makalio duh
 
hizo za kiume nazo zinapita bonde la ufa? zitakuwa za mashoga hizo. mwanaume mzima kamba inapita kwenye unyeo na unaonyesha makalio duh

Hahaah! Hazipiti bana! Nyemba kuliko boxer na si pana kama chupi! LOLEST!!!! Google mens thong fashion utaziona!!!! Hahahahah! @ unyeo
 
Hahaah! Hazipiti bana! Nyemba kuliko boxer na si pana kama chupi! LOLEST!!!! Google mens thong fashion utaziona!!!! Hahahahah! @ unyeo

check website malebasics. inapita bonde la ufa. straight guy hawezi vaa hizi. sijui jinsi ya kuweka linki ningeweka but just google the website
 
my argument was y men wear bikin and not how bikin looks like!

sasa mbonaa naona unazidi kujichanganya...mwanaume atavaa vipi bikini ilihali hana matiti ya kuaccomodate sidiria?...huyo uliyemuona kavaa bikini atakuwa ni ***** labda
 
sasa jamani bikini kwetu hutu zitaaje? Labda wakati minazi yote ili madafu yasiwepo
 

Mbavu zangu bandugu..............................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…