Napinga na nakemea kwa ukali hili nalishikia kidedea HATUTA NA HAITA,HAIWEZEKANI WANAUME TWENDE CHOONI NA MAJI KISA MKOJO!Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Naongelea vyoo vyetu hiviKwanini tubebe maji!??
Maji tunakutana nayo huko huko washroom,Tunaflash na kujiweka sawa kisha tunatoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kabisaNi shida lakini mkojo ni mkojo man
MNATAKA KUTUPANDA KICHWANI SASA![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una kichaa wewe, hivi hujui mkojo una harufu?
Mkuu maji tubebe kwani tunaenda chooni kuosha nini muda wa kukojoa?Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Anus na mkojo wapi na wapi?
Ok nimekuelewa mwanzoni sikusoma vizuri madaNaongelea vyoo vyetu hivi
Kweli bhana tutabadirika [emoji16][emoji16]
Usiombe upange nyumba na walevi
Siwezi beba maji mtatusamehe. Halafu na nyie tafuteni diaba muwe mnajaza maji huko msalani.